Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda nyumbani kaangalieMwenye Link.
mbona nimeambiwa no programNasikia azam kwenye other channel,kuna channel moja inaitwa Goe Davie TV(sijui kama nimeandika sahihi) wanaonesha game zote 64.
Basi wameifunga,kuna mdau Jana aliangalia game ya saa moja.mbona nimeambiwa no program
Mbna wanacheza vzr tu kwan modric ndio tegemeo pekeeHali ikoje huko mbele ya Screen?
Morocco wanaweza kutoboa mbele ya Modric?
ndio bas tena na huko tbc kuna mkutano wa samiaBasi wameifunga,kuna mdau Jana aliangalia game ya saa moja.
TBC wanaonesha game moja tu Kwa siku,Leo wataonesha Ile ya saa NNE usiku.ndio bas tena na huko tbc kuna mkutano wa samia
enjoy mkuu mimi saa nne nna uwezekano nikalalaTBC wanaonesha game moja tu Kwa siku,Leo wataonesha Ile ya saa NNE usiku.
🤣🤣🤣🤣Mfalme wa Morocco aliahidi kutujengea uwanja Dodoma wa michezo uko wapi? Kabla sijawashabikia