Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

35DF3CDF-5E36-4F19-BFBA-754F00173A3D.jpeg
 
Leo nipo Croatia, sitaki unafki wa kusema tushabikie timu za Bara letu..

Ushabiki wa Keyboard? Bora ningekuwa uwanjani nipayuke niwape hamasa.

Kwa hapa, nashabikia timu niipendayo.

Piga hao Waarabu
 
Hali ikoje huko mbele ya Screen?

Morocco wanaweza kutoboa mbele ya Modric?
 
Back
Top Bottom