United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Jana nimepata raha sana Huku Argentina kapasuka Huku France kashinda nawangoja mexico waje watupe raha tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaaa sema Bora umejua ukweli ila pia mnaweza kufuzu maana Argentina kuaza vibaya kweny mechi za kwanza za makundi sio mara ya kwanza Ata 2018 alipasuliwa 3 na Croatia ila alifuzu ila vibonde wenu Nigeria hawapoArgentina out hana uwezo wa kumfunga mexico na Poland kwa mpira waliocheza jana. Mimi ni shabiki wa Messi ila ukweli lazima usemwe.
Huyo mexico na mwenzake watapigwa kama ngomaHahaaaaaaa sema Bora umejua ukweli ila pia mnaweza kufuzu maana Argentina kuaza vibaya kweny mechi za kwanza za makundi sio mara ya kwanza Ata 2018 alipasuliwa 3 na Croatia ila alifuzu ila vibonde wenu Nigeria hawapo
Usimbeze jirud jamaaHatimae Mugalu wa Ufaransa kafunga
Hata mimi huyo dogo nilitaka kujua anacheza kilabu gani dogo kaandika historia kucheza wcila Australia Kuna kitoto kimeingia mwishoni kina asili ya Africa Yani ni kitoto kabisa
Ndo role model wake.Uyu dogo wa Real Madrid uchezaj wake ni Pogba mtupu
Ni kawaida yake kukosa magoli rahisi,lakini atakuja kufunga goli gumu we mwenyewe utashangaa..huyu jamaa yuko tofauti yan viceversaHuyu Giroud sijui ana gundu Gani anakosa sana magoli na eneo la katikati limepwaya
Wareno sio watu wazuri,Africa mbombo ngafuAlhamisi kazi waayo kwa portugal.
Ndoto za mchana hakuna timu pale. Messi kaisha, mabeki wabovuUmeona eeehh
Kama utani hii comment yangu if ifanyieni lamination muitundike paleeeee juuu iwe ushahidi....
Argentina wanaingia nusu fainali
Hilo kombe wampe tu Brazil hata kabla ya kupoteza rasilimaliNa mimi yangu itolewe copy kama ushahidi....hamna cha Argentina wala Portugal. Wote watatoka
Si mpaka avuke makundi ?Hilo kombe wampe tu Brazil hata kabla ya kupoteza rasilimali
Tutapata tu CV yakeNdoto za mchana hakuna timu pale. Messi kaisha, mabeki wabovu
Aisee kumbe jf kuna wanawake wanafuatilia mpira hatari😲😲😲Ndo role model wake.
Hapa namsubiria germany na mjapan nionne mbunginya ukweliMechi za Leo ni cheche
Ngoja nkweke mambo sawa nisizikose
Una generator?Mechi za Leo ni cheche
Ngoja nkweke mambo sawa nisizikose
Generator la nini wakati kuna inventor?Una generator?
Watu wameweka rekodi, kumfunga Argentina yenye Messi si kawaida, mbaya zaidi kutokea nyumaMfalme wa Saudi Arabia kazawadia kila mchezaji Rolls Royce. Aisee Saud wamemkosha mfalme