Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ila hawa wehu licha ya kupata goli mbili ila wanafanya mizaha mingi sana wakifika golini
 
Limekataliwa mambo ya VAR hayo

Bora huku kwetu tuendelee na kina Kayoka na Frolentina kama mambo ndio haya
 
Limekataliwa mambo ya VAR hayo

Bora huku kwetu tuendelee na kina Kayoka na Frolentina kama mambo ndio haya
Mkuu ile ni offside ya wazi kabisa nashangaa linesman hakuiona ... yaani mm nilijua tu offside bila kuangalia replay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…