Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Portugal ile ya 2016 sio hii, hii ina vipaji vingi sema uchezaji wao ndio wa kawaida, yani performance ya Bruno, Bernado, Cancelo sio kama wakiwa vilabu vyao
 

Haya jamani mnaona kwa nini wacchezaji wa wenzetu wanajituma wakiwa timu ya taifa. Sio sie tunasema oh huna uzalendo....hii kazi kama kazi nyingine
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila hana tatizo na mtu. Endeleeni tu na bet yenu
Hiyo bet imeenda na maji.

Sihitaji kubet na shoga. Kuna nyuzi nimezipitia zinazohusu Ushoga, kakaza shingo kweli kuutetea.

Hapana.. Navunja makubaliano.
 
Musiala anafanya attempt matata sana hapa... huyo dogo ni wonder kid aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…