Umeona ee.🤭🤭🤭Spain wanatoa raqhaaaaa
Halafu Spain watoto wadogo ila moto wak
Spain imejaa watoto wa Barcelona
Mechi ijayo dhidi ya German utamkataa mkuuSichoki kumuangalia Sergio Busquet...jamaa ananyambulika vizuri sana na wala hatumii nguvu
Spain ni team nilikuchek tu na utabiri wako kama umevuta bange mbichiHi Costa Rica ya hovyo Sana Bora hata Ruvu Sasa, au majamaa hawajui Kama wanashiriki kombe la Dunia
Hahahaa hamna ninayotumia haina option ila nitatumia lain nyemgine ninunue kupitia huduma ya e-mola GB 20 kwa 300 dakika 200 na SMS mnynyriko. HahaaaaHakuna resolution ya kuchagua??? Uskute unaopt liHD mwanawane,mie mwsho 360p. Hizo 720p,1080p nazpita kama sizion,tena kuna mda naweka 240p kabsa[emoji1787] chezea mb ww
Master of disguise passesSichoki kumuangalia Sergio Busquet...jamaa ananyambulika vizuri sana na wala hatumii nguvu
Ongeza odds sasa 😄Mke nataka nile na wewe babe wa mpira
Yan mambo ni bam bam 😋Umeona ee.🤭🤭🤭
Wote ni ubovu wa uongozi nchini viongozi hawajali labda matumbo yao na sisi wananchi kupiga mapambio mama anaupiga mwingi aongoze mpka milele.mashindano ya kipindi hiki imekuwa shida sana kuyaona.
TBC ambacho ndio chombo pekee hapa nchini kinapaswa kionyeshe mechi angalau 2 au 3, sio kama wanavyo fanya hivi sasa, yaani utadhani hakuna mashindano ya kombe la dunia.
Kwani toka mwanzo umu nani anaesema spain bingwa zaidi yangu?Yaani mechi ya kwanza dhidi ya Ihefu ya Amerika ya Kusini unampa ubingwa?
Mkuu sasa mbona tunashambuliana, Saudia kafikaje huku? 🤣🤣Kwani toka mwanzo umu nani anaesema spain bingwa zaidi yangu?
Wewe umekutana na saudia tu umekandwa unategemea nn?
Vijana ndio wanajua kupelekea moto fabo na mbususu🤣🤣🤣🤣Halafu Spain watoto wadogo ila moto wao[emoji91][emoji91]
Fundi wa mpira KDBVijana ndio wanajua kupelekea moto fabo na mbususu🤣🤣🤣🤣
Mechi ilishadoda hii ngoja tumsubiri zeru zeru wakizungu tuu hapa saa nne
Hapa nilishatia ka laki mbili ngoja nione isije ikawa navuna mabuaOngeza odds sasa 😄
🤣🤣 tukupeleke uwanjani?Asensio fala sana