Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hakuna resolution ya kuchagua??? Uskute unaopt liHD mwanawane,mie mwsho 360p. Hizo 720p,1080p nazpita kama sizion,tena kuna mda naweka 240p kabsa[emoji1787] chezea mb ww
Hahahaa hamna ninayotumia haina option ila nitatumia lain nyemgine ninunue kupitia huduma ya e-mola GB 20 kwa 300 dakika 200 na SMS mnynyriko. Hahaaaa

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
mashindano ya kipindi hiki imekuwa shida sana kuyaona.
TBC ambacho ndio chombo pekee hapa nchini kinapaswa kionyeshe mechi angalau 2 au 3, sio kama wanavyo fanya hivi sasa, yaani utadhani hakuna mashindano ya kombe la dunia.
Wote ni ubovu wa uongozi nchini viongozi hawajali labda matumbo yao na sisi wananchi kupiga mapambio mama anaupiga mwingi aongoze mpka milele.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom