Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sichoki kumuangalia Sergio Busquet...jamaa ananyambulika vizuri sana na wala hatumii nguvu
Nilikua natafuta hii comment tang game imeanza.

Asee jamaa ukiangalia game kama hayupo lkn ukiwa mtu wa kufatilia details za game kwa makini jamaa anavo cheza mpr unaweza Dhani ni mchezo mrahis sana asee. Yan ni pivotal sana kwa kila ki2 spain wanachofany.
 
Tukosema Spain bingwa msibishe Double holding ya BUSQUETS + RODRI

NUMBER 8 WAWILI GAVI + PEDRI


hakuna kiungo itatwala dimba
Bado sio sababu, hawatafika mbali. Hawajakutana na timu ngumu.
 
Germany kufungwa na Japan ilishazoeleka tangu 2018 mkuu.
Ni Hawa Hawa Japan ndo waliwafunga Ujerumani kwenye Kombe la Dunia mwaka 2018.
Kwa hiyo Hakuna Cha ajabu hapo.
2018 Germany alipigwa na South Korea. Japan alikuwa kundi la Senegal wakalingana points ila Senegal akatolewa kwa sheria za kikuda. Japan akapigiwa comeback na Belgium hatua iliyofuata.
 
World cup ya safari hii ina maajabu yake nadhani football imebalansi sasa hakuna mbabe!! Mjapan anamfunga ujerumani!!??
Saudi Arabia anamfunga Argentina basi Africa tunabeba kombe
 
Sebia sio wabaya wale wana jamaa wao mmoja serje milinkovic savic hatari anacheza lazio ni mdeadly joooo!!!!

Wajapan walizingua first half wanapaki bus ila moto wa kipindi cha pili mjerumani alikuwa anaomba maji. Kipindi cha pili wamepiga ball kama lile la 2018 mechi yao dhidi ya belgium
Ninakumbuka mechi yao dhidi ya Belgium. Ilikuwa fire. Nipe nikupe.
 
Back
Top Bottom