Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
WanawakandaaaSpain jamani.....mnakamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanawakandaaaSpain jamani.....mnakamia
Nakuunga mkono hoja yako ya mwisho hapoFundi mzoefu huyo anawafundisha Watoto mambo flan flan makubwa
Ila take it from me, Spain hii hii haitafika mbali sana.
Heee yasipofika?Bado moja tuu bby uje tukale maburger na mapizza 😝
Amefanyiwa sub na Alvaro Morata ndio anaingiaTorres anatafuta hat trick
Hata ni Mimi ningetia hurumaHawa Costa Rica wanatia huruma.
Navas yaani anaonekana si bora. Wakati ni bora kabisa. Team nzima inamwangusha. Wanaishia kutoka jasho tu.Hata ni Mimi ningetia huruma
Hahahhaha eti nipe nikupeNinakumbuka mechi yao dhidi ya Belgium. Ilikuwa fire. Nipe nikupe.
Hapa vipi huwezi kutoboa?Mtandao gani huo?
Mtandao gani huo?
Jamii kubwa ya western ni wajinga sana unaweza kudhani ni watu wa maana lkn ni watu ambao shetani ndo makao yake makuu yalipo.. Unashangaa kwnn uende kuimpose upumbav ambao jamii nyngne hawatak kwnn nguvu itumike kubwa ivo kulazimisha mambo ya kisenge.Haohao Gaymany. Nashindwa kuelewa kwanini wana-force homosexuality kwenye jamii tofauti kabisa na zao. Kitu kinachonichanganya zaidi hizi dini zililetwa na haohao wa magharibi lakini ndiyo wa kwanza kwenda kinyume nazo.
Ndio ujiulize inakuwaje kama sio dini walitumia kutupumbazaHaohao Gaymany. Nashindwa kuelewa kwanini wana-force homosexuality kwenye jamii tofauti kabisa na zao. Kitu kinachonichanganya zaidi hizi dini zililetwa na haohao wa magharibi lakini ndiyo wa kwanza kwenda kinyume nazo.
Yeye mwenyewe prezda wa fifa mnafiki kwenye mambo ya fabo huku africa. Hapo yeye ana defend tuu ulaji wakeJamii kubwa ya western ni wajinga sana unaweza kudhani ni watu wa maana lkn ni watu ambao shetani ndo makao yake makuu yalipo.. Unashangaa kwnn uende kuimpose upumbav ambao jamii nyngne hawatak kwnn nguvu itumike kubwa ivo kulazimisha mambo ya kisenge.
Ndo maana president wa Fifa aliwachana majuz kua ni wanafiki sana.
Duuuh hiyo ndo naiskia leo ni mtandao gani? Au sio wa tzeeHahahaa hamna ninayotumia haina option ila nitatumia lain nyemgine ninunue kupitia huduma ya e-mola GB 20 kwa 300 dakika 200 na SMS mnynyriko. Hahaaaa
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app