Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Aisee nilikosea Sana kwenye utabiri,nilizani Spain wanacheza na Croatia ndo nikatabiri ivo, ndo nikajistukia kumbe Ni Costa Rica na Croatia walishacheza mchana.Spain ni team nilikuchek tu na utabiri wako kama umevuta bange mbichi
Ngoja tukale chap tuje tumalizieMapumziko,, mkale, mkaoge
We nae unawaza mbususu kila saaVijana ndio wanajua kupelekea moto fabo na mbususu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi ilishadoda hii ngoja tumsubiri zeru zeru wakizungu tuu hapa saa nne
Mbona kipindi Cha pili kitaanza kabla hatujamaliza hayo yote, acha hii mechi iishe tu ndo tuoge tule.Mapumziko,, mkale, mkaoge
Mdogo wake mama wa kambo anajipitisha pitisha hapa na khanga moko🤣🤣🤣🤣🤣We nae unawaza mbususu kila saa
Dk 15Mbona kipindi Cha pili kitaanza kabla hatujamaliza hayo yote, acha hii mechi iishe tu ndo tuoge tule.
No darling...This WC hakuna cha mkubwa wala mdogo. Usipopambana uwanjani unaliwa tu na timu unayoidharauThey're just playing against Costa Rican underdogs,,, wakikutana na Brazil wanaona Cha Moto.
Hii Costa Rica hata Taifa Stars yenu ikikaa vizuri inailabua
Mbona kipindi Cha pili kitaanza kabla hatujamaliza hayo yote, acha hii mechi iishe tuMapumziko,, mkale, mkaoge
Kwamba Nile kwa dikika 5, nioge dakika 5 afu zilizobakia 5 nikapumzike eti?Dk 15
Wanaume ni mnakula, mnaoga na kupumzika kidogo 😄
Ndiyo, wanaume hamna mambo mengiMbona kipindi Cha pili kitaanza kabla hatujamaliza hayo yote, acha hii mechi iishe tu
Kwamba Nile kwa dikika 5, nioge dakika 5 afu zilizobakia 5 nikapumzike eti?
Nilifikiri huangalii uko mahangaikoni.Haka katoto kasikie Mad Max
Kwenye kuhangaika nishatoka
How under heaven & Earth can someone finish a meal ( typically heavy meal) within 5 minutes??Ndiyo, wanaume hamna mambo mengi
Wewe si umenidharau team yangu nmeamua kulipuka tu [emoji16]Mkuu sasa mbona tunashambuliana, Saudia kafikaje huku? [emoji1787][emoji1787]
Hili kombe la dunia timu za Ulaya zimekuja kueneza ushoga tu badala ya ku-focus kwenye mashindano.
Safi sana Japan!
Croatia ilijaa vibabau imekimbizwa mno na Hashraf hakim +zyechAisee nilikosea Sana kwenye utabiri,nilizani Spain wanacheza na Croatia ndo nikatabiri ivo, ndo nikajistukia kumbe Ni Costa Rica na Croatia walishacheza mchana.
Anyways, Niko tungi ndo maana unaniona boya[emoji23]