Ame caluculate na mda wa nyetoDk 15
Wanaume ni mnakula, mnaoga na kupumzika kidogo [emoji1]
Fundi mzoefu huyo anawafundisha Watoto mambo flan flan makubwaSichoki kumuangalia Sergio Busquet...jamaa ananyambulika vizuri sana na wala hatumii nguvu
Unachanganya japn na korea BrotherGermany kufungwa na Japan ilishazoeleka tangu 2018 mkuu.
Ni Hawa Hawa Japan ndo waliwafunga Ujerumani kwenye Kombe la Dunia mwaka 2018.
Kwa hiyo Hakuna Cha ajabu hapo.
Spain bingwa unabisha tubetFundi mzoefu huyo anawafundisha Watoto mambo flan flan makubwa
Ila take it from me, Spain hii hii haitafika mbali sana.
Nilikua natafuta hii comment tang game imeanza.Sichoki kumuangalia Sergio Busquet...jamaa ananyambulika vizuri sana na wala hatumii nguvu
Bado sio sababu, hawatafika mbali. Hawajakutana na timu ngumu.Tukosema Spain bingwa msibishe Double holding ya BUSQUETS + RODRI
NUMBER 8 WAWILI GAVI + PEDRI
hakuna kiungo itatwala dimba
Unamsema" gaymany "au [emoji23][emoji23]Hili kombe la dunia timu za Ulaya zimekuja kueneza ushoga tu badala ya ku-focus kwenye mashindano.
Safi sana Japan!
Sawa. Taja amountSpain bingwa unabisha tubet
Mapema hivi.Spain bingwa unabisha tubet
2018 Germany alipigwa na South Korea. Japan alikuwa kundi la Senegal wakalingana points ila Senegal akatolewa kwa sheria za kikuda. Japan akapigiwa comeback na Belgium hatua iliyofuata.Germany kufungwa na Japan ilishazoeleka tangu 2018 mkuu.
Ni Hawa Hawa Japan ndo waliwafunga Ujerumani kwenye Kombe la Dunia mwaka 2018.
Kwa hiyo Hakuna Cha ajabu hapo.
Ninakumbuka mechi yao dhidi ya Belgium. Ilikuwa fire. Nipe nikupe.Sebia sio wabaya wale wana jamaa wao mmoja serje milinkovic savic hatari anacheza lazio ni mdeadly joooo!!!!
Wajapan walizingua first half wanapaki bus ila moto wa kipindi cha pili mjerumani alikuwa anaomba maji. Kipindi cha pili wamepiga ball kama lile la 2018 mechi yao dhidi ya belgium
Acha uongo!Germany kufungwa na Japan ilishazoeleka tangu 2018 mkuu.
Ni Hawa Hawa Japan ndo waliwafunga Ujerumani kwenye Kombe la Dunia mwaka 2018.
Kwa hiyo Hakuna Cha ajabu hapo.
Best match of 2018 world cupNinakumbuka mechi yao dhidi ya Belgium. Ilikuwa fire. Nipe nikupe.
Bado moja tuu bby uje tukale maburger na mapizza 😝Cha nne
Haohao Gaymany. Nashindwa kuelewa kwanini wana-force homosexuality kwenye jamii tofauti kabisa na zao. Kitu kinachonichanganya zaidi hizi dini zililetwa na haohao wa magharibi lakini ndiyo wa kwanza kwenda kinyume nazo.Unamsema" gaymany "au [emoji23][emoji23]