Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Asante Goer davie tv ndani ya azam tv kwenye other channel..game zote ziko live...ila uwe umelipia!
 
Haohao Gaymany. Nashindwa kuelewa kwanini wana-force homosexuality kwenye jamii tofauti kabisa na zao. Kitu kinachonichanganya zaidi hizi dini zililetwa na haohao wa magharibi lakini ndiyo wa kwanza kwenda kinyume nazo.
Jamii kubwa ya western ni wajinga sana unaweza kudhani ni watu wa maana lkn ni watu ambao shetani ndo makao yake makuu yalipo.. Unashangaa kwnn uende kuimpose upumbav ambao jamii nyngne hawatak kwnn nguvu itumike kubwa ivo kulazimisha mambo ya kisenge.

Ndo maana president wa Fifa aliwachana majuz kua ni wanafiki sana.
 
Haohao Gaymany. Nashindwa kuelewa kwanini wana-force homosexuality kwenye jamii tofauti kabisa na zao. Kitu kinachonichanganya zaidi hizi dini zililetwa na haohao wa magharibi lakini ndiyo wa kwanza kwenda kinyume nazo.
Ndio ujiulize inakuwaje kama sio dini walitumia kutupumbaza
 
Yeye mwenyewe prezda wa fifa mnafiki kwenye mambo ya fabo huku africa. Hapo yeye ana defend tuu ulaji wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…