Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo final wc ilikua argentina na germany. Germany alimpiga mojaHii inanikumbusha Brazil walipopigwa 7 na Germany fainali za 2014
hahahaaha kweliSpain goal keeper kasepa zake na clean sheet yake...kwanza hakuna hata aliemsumbua golini[emoji1787]
Kbs mkuu usiwe na huruma. Kwa sbb hujui mbele lbd goal difference inaweza kua msaada au team yako ikatoa top scorer kwhy ww toa kipondo heavy bila huruma.Kabksa ukimkuta kibonde ni unapigaaa mpaka basi
Hata angedaka mchezaji wa ndaniSpain goal keeper kasepa zake na clean sheet yake...kwanza hakuna hata aliemsumbua golini[emoji1787]
Ukatili,ukicheka na vitoto yanakukuta ya ArgentinaHuyu Spain hana huruma🤣View attachment 2425383
[emoji1787][emoji1787]dahHuyu Spain hana huruma[emoji1787]View attachment 2425383
Kha pass elf moja😲😲😲Huyu Spain hana huruma🤣View attachment 2425383
Huruma ya nini bwana...hii ndio stage ya wanaojua boliDah
Hawa jamaa hawana huruma
Huyu Spain hana huruma🤣View attachment 2425383
Ndo kama jana sisi Argentina tumekosa sana 1st half matokeo yake tukafungwa ss.. Yan ukiwa na nafas ya kufunga mpe mtu goal za kutosha tu mapema bas.Ukatili,ukicheka na vitoto yanakukuta ya Argentina
Ila hawa jamaa ni wa Ngese mbwee kabisaTbc leo kimyaaa utasema ni kituo cha afya sio kituo cha Tv kilichoahidi kuonyesha kombe la dunia
Saa nne wataoneshaTbc leo kimyaaa utasema ni kituo cha afya sio kituo cha Tv kilichoahidi kuonyesha kombe la dunia