Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Pole sans Costa Rica. Honestly Japan Sina uhakika kama watatoboa kwenye hili kundi but all in all anything can happen in WC
 
Japan huwa na mpira flani hivi wa kuvizia,hawashambulii sana ila wakikushambulia shambulizi lao moja tu lazima jasho likutoke,huwa wanachanganya wakishavuka ule mstari wa katikati..akina hazard huwaelewa hao jamaa ni waviziaji balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…