Na hilo jotoYaani navuta mto nikae vizuri nitazame boli likitembea TANESCO wanafanya yao.. Wanataka tuu mtu ukereke...
Leo mnapigwa kama ngomaHaya haya Mbungi limeanza..
Naipendaga tuu Belgium ni moja ya top 3 zangu za Ulaya
AnakosaaaaaDaviessssssss
Kampelekea mkononiiKaichezaaaaa