Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sasa Brqzili alitolewa hatua gani?.huo sio ukibonde..ukibonde ni kubamizwa hivyo hatua za awali [emoji38]
Kibonde ukibamizwe mbele uko unaonekana awali ulicheza na wajinga zaidi
 
Haya haya Mbungi limeanza..
Naipendaga tuu Belgium ni moja ya top 3 zangu za Ulaya
 
Refa wa leo Sikazwe alifanya hiki kituko AFCON 🤣

images.jpeg
 
Back
Top Bottom