FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Team haijafuzu ifikeje mbali?Timu langu Colombia lingekuwepo tunge fika mbali sana.
Illogical statement
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team haijafuzu ifikeje mbali?Timu langu Colombia lingekuwepo tunge fika mbali sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Team haijafuzu ifikeje mbali?
Illogical statement
Aisee sisis wa TBCcm ngoja tuendelee kushangaaa shangaa
Ah kipa wapi bwana hawa mabeki ata bibi yangu anaweza kaba kuliko waoAibu sana yani,af keeper wao kama pazia tu,kila ukigusa imooo
2018 Germany alipigwa na South Korea. Japan alikuwa kundi la Senegal wakalingana points ila Senegal akatolewa kwa sheria za kikuda. Japan akapigiwa comeback na Belgium hatua iliyofuata.
Sariboli iliwazidia mkuu, tusiwalaumuHawa kwa kweli wametia aibu...not a single shot
🤣🤣🤣🤣Tena wee tungekupa beki tatu🤣🤣🤣🤣Hata mimi japo sijui mpira ila ningepewa namba ningecheza kuliko hawa jamaa
wengi huwa wanachanGAnya sio wewe kuna jamaa yangu nae alisema hivyo hivyoMkuu Mimi sijawahi jua kutofautisha Kati ya Japan na South Korea, hiyo mechi niliiangalia Germany wakipigwa vizuri ila nimekumbuka kweli walipigwa na S.K
Walifungwa na South Korea mkuu, I always confuse Japan with KoreaAcha uongo!
France, Netherlands, England n.kTeam ipi ngumu?
Netherlands toa..France, Netherlands, England n.k
Sasa Brqzili alitolewa hatua gani?.huo sio ukibonde..ukibonde ni kubamizwa hivyo hatua za awali 😆Ata Brazil alivyokula 7 kwa Germany aliitwa kibonde
Kuna mwamba mmoja wa South Korea aliachia fataki kwenye lango la Ujerumani Hadi nikamtolea macho wee🤔Best match of 2018 world cup
Exactly!Noma wamepiga mtu kama ngoma
Hata naangalia basii napoteza time hapa nilale[emoji23][emoji23][emoji23] Wanakuwekea uzinduzi sijui wa nini.
Sariboli...umenikumbusha napoli ya sari ilikuwa balaaa ile. Timu unaiangalia inakufa furaha mpaka basi. Maishani sijawai acha mbususu ila nakumbuka kuna siku napoli walikuwa wanacheza nilikataa ofa ya mbususu.Sariboli iliwazidia mkuu, tusiwalaumu
hii world cup ukiingia kichwa kichwa unakula za uso haraka mno!
Ninfekaba angalau bao zisingefika zote hizo aisee.🤣🤣🤣🤣Tena wee tungekupa beki tatu🤣🤣🤣🤣
Hamna sio tzDuuuh hiyo ndo naiskia leo ni mtandao gani? Au sio wa tzee
[emoji1787][emoji2088]Ah kipa wapi bwana hawa mabeki ata bibi yangu anaweza kaba kuliko wao
Mimi nilishasema hapo awali kwamba hata Taifa Stars ikikaa vizuri inaweza ikawachapa Hawa Costa RicaHata mimi japo sijui mpira ila ningepewa namba ningecheza kuliko hawa jamaa