Myunani wa II
Senior Member
- Aug 13, 2022
- 186
- 422
Sariboli...umenikumbusha napoli ya sari ilikuwa balaaa ile. Timu unaiangalia inakufa furaha mpaka basi. Maishani sijawai acha mbususu ila nakumbuka kuna siku napoli walikuwa wanacheza nilikataa ofa ya mbususu.
That team did not win the seri a but was an absolute delight to watch! Mertens, calejon, ensigne, jorginho, zielinski na yule mzee wa kiduku hamsik. Sitawasahau
Yah, mpira wa siku hizi inahitaji akili mingi na kujituma sana, bila hivyo mafanikio ni ngumu mno