I second you bossKama kuna mtu alibeti hii mechi yani kwa matokeo yeyote yale ila kwa jinsi unavyocheki mpira muda huu nadhani anagundua alifanya makosa
Nipo nimekaa paleHawa Canada aseeeh, si wafunge[emoji51]
Tungewaonea wapi wakati mara ya mwisho wanashiriki hatukuwa duniani?Kumbe Canada ni wazuri na hamkusema
Mikeka itachanwa sasa iviTia maji tia maji...kuna watu wanataka tulale na majonzi😀😀😀😀
Wanadai pale aliugua ghaflaHuyu refa kapewaje kuchezesha hii mechi? [emoji35]View attachment 2425446
Mkuu kuna huyu Davies..na Davi..hahaha watatuua sana kwa haya mambo yaoKuna muda unakaa, unajiona mjinga.
Najitafakari, nilimpaje Belgium? Yaani ni pressure tupu.
Njoo Spain kila siku stareheThibaut tu ndo ananipa moyo mimi[emoji25]manq hata sielew elew
Unaweza cash out upate amani ya muda😂Kuna muda unakaa, unajiona mjinga.
Najitafakari, nilimpaje Belgium? Yaani ni pressure tupu.
Mi ndo maana naishia kushabikia tu kama mwana sports ila kibiashara huwa sipendi slesiKuna muda unakaa, unajiona mjinga.
Najitafakari, nilimpaje Belgium? Yaani ni pressure tupu.