Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
We tulia mkuu waache wajichanganye wakafikiri muhindi anaweza kuwa mzembe kiasi hichoBado sio wale Belgium, na wakirudi baada ya half time bado wana kazi nzito
Hili kombe la msimu huu limekuja kivingine watu hawaogopi legacy wanakipiga bila kuangalia kuna mastaa wanaofanya vizuri
Hili ndio kombe lenye ladha, ile habati ya kabla ya mchezo unakuwa unatabiri goli 7 eti kwasababu timu flani ni kubwa, safari hii hiyo haipo