Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Bado sio wale Belgium, na wakirudi baada ya half time bado wana kazi nzito
We tulia mkuu waache wajichanganye wakafikiri muhindi anaweza kuwa mzembe kiasi hicho

Hili kombe la msimu huu limekuja kivingine watu hawaogopi legacy wanakipiga bila kuangalia kuna mastaa wanaofanya vizuri

Hili ndio kombe lenye ladha, ile habati ya kabla ya mchezo unakuwa unatabiri goli 7 eti kwasababu timu flani ni kubwa, safari hii hiyo haipo
 
Senegal wataishia makundi

Watadrawal na qatar na ecuador

Watatoka na hizo point mbili na yule kipa wao anadaka mpira kama embe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira mbovu sana walicheza
Kwa kipindi cha kwanza tu, ila kuanzia dakika ya 60 Mholanzi alicheza vizuri sana technically, akamwacha Senegal anakimbia na Mpira na pasi nyingi lakini hawafungi...Mholanzi akatarget goli la cross na counter attack kwa goli la mwisho

Finishing bado ni tatizo kwa timu za Afrika, ni kama tu hawa Canada
 
Kwa kipindi cha kwanza tu, ila kuanzia dakika ya 60 Mholanzi alicheza vizuri sana technically, akamwacha Senegal anakimbia na Mpira na pasi nyingi lakini hawagungi...Mholanzi akatarget goli la cross na counter attack kwa goli la mwisho

Finishing bado ni tatizo kwa timu za Afrika, ni kama tu hawa Canada
Mpaka sasa hamna timu ya africa ina goli [emoji23]
 
Huyu refa kwanza world cup sijui ameendaje...yaani alivurinda afcon lakini yupo world cup. Africa ni connection tuu. Kuna yule refa mwengine sijui ni mrundi alikuwa bora zaidi

Kwamba kuna maamuzi kayafanya ambayo ni unfair?
 
Kutoka ZAMBIA [emoji1268] anaitwa Janny SIKAZWE
Anakumbukwa kwa kumaliza mpira Dk ya 84 baada ya kuongeza muda na kurekebisha akamaliza dk ya 89 [emoji23][emoji23] kwenye AFCON.
Lakini Mwamba yupo Qatar [emoji1203] muda huu.
Mambo ya connection....tayari ana $70000 kibindoni
 
Senegal wataishia makundi

Watadrawal na qatar na ecuador

Watatoka na hizo point mbili na yule kipa wao anadaka mpira kama embe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipa bora leo hii ni wakusemwa hivi?
 
Back
Top Bottom