We tulia mkuu waache wajichanganye wakafikiri muhindi anaweza kuwa mzembe kiasi hichoBado sio wale Belgium, na wakirudi baada ya half time bado wana kazi nzito
Cash out kakufunza nani mrembo?Unaweza cash out upate amani ya muda[emoji23]
Kweli jamaa hajatulia kbsaKDB Leo hayuko mchezoni kabisa pasi nyingi hazifiki kwa wahusika.
BrothersCash out kakufunza nani mrembo?
Hamna kitu hapo. Kati ya taasisi ambayo haiheshimiwi ni wao na hii ni wao ndo chanzo.Ila admin wa tbc...yaani fernando torres bado anacheza sokaView attachment 2425483
Huyu refa kwanza world cup sijui ameendaje...yaani alivurinda afcon lakini yupo world cup. Africa ni connection tuu. Kuna yule refa mwengine sijui ni mrundi alikuwa bora zaidiRefarii anayechezesha hii mechi atatoka hoii
Siyo Kwa hii kasi ya Mpira,[emoji119]
Kwa kipindi cha kwanza tu, ila kuanzia dakika ya 60 Mholanzi alicheza vizuri sana technically, akamwacha Senegal anakimbia na Mpira na pasi nyingi lakini hawafungi...Mholanzi akatarget goli la cross na counter attack kwa goli la mwishoMpira mbovu sana walicheza
Ferran Torres kuna watu wako position kubwa na hawajui loloteIla admin wa tbc...yaani fernando torres bado anacheza sokaView attachment 2425483
Bora wangeendelea kujikita kwenye mikutano YA Ccm Na ziara za Hangaya.Hamna kitu hapo. Kati ya taasisi ambayo haiheshimiwi ni wao na hii ni wao ndo chanzo.
Canada ni waafrica?Waafrika wenzetu wameshindwa tu kufunga bao ila game wanayo
Mpaka sasa hamna timu ya africa ina goli [emoji23]Kwa kipindi cha kwanza tu, ila kuanzia dakika ya 60 Mholanzi alicheza vizuri sana technically, akamwacha Senegal anakimbia na Mpira na pasi nyingi lakini hawagungi...Mholanzi akatarget goli la cross na counter attack kwa goli la mwisho
Finishing bado ni tatizo kwa timu za Afrika, ni kama tu hawa Canada
UtashangazwaaBelgium Leo hamna kitu kilichobak pale ni ubora wa mchezaj mmoja mmoja
Huyu refa kwanza world cup sijui ameendaje...yaani alivurinda afcon lakini yupo world cup. Africa ni connection tuu. Kuna yule refa mwengine sijui ni mrundi alikuwa bora zaidi
Mambo ya connection....tayari ana $70000 kibindoniKutoka ZAMBIA [emoji1268] anaitwa Janny SIKAZWE
Anakumbukwa kwa kumaliza mpira Dk ya 84 baada ya kuongeza muda na kurekebisha akamaliza dk ya 89 [emoji23][emoji23] kwenye AFCON.
Lakini Mwamba yupo Qatar [emoji1203] muda huu.
Kipa bora leo hii ni wakusemwa hivi?Senegal wataishia makundi
Watadrawal na qatar na ecuador
Watatoka na hizo point mbili na yule kipa wao anadaka mpira kama embe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee kule afcon unakumbuka madudu yakeKwamba kuna maamuzi kayafanya ambayo ni unfair?
Canada wanacheza kitimu bt wakifika pale golini ndo wanafeliUtashangazwaa