Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa Canada wanacheza utumbo sometimes aanatumia nguvu kubwa kufika karibu na goli, wakifika wanaanza kujikanyaga kanyaga

Wanataka kuvuka ukuta wote wa mabeki ndio wafunge? Kuna sehemu unaona kabisa ni ya kupiga shuti kubwa lakini wao wamekomaa kwenye vyenga
 
De Bruyne, anaona lango lipo huko kwenye drone labda.

Puuuuh!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…