mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
[emoji1]Unachozungumza ni sahihi kabisaHawa Canada wanacheza utumbo sometimes aanatumia nguvu kubwa kufika karibu na goli, wakifika wanaanza kujikanyaga kanyaga
Wanataka kuvuka ukuta wote wa mabeki ndio wafunge? Kuna sehemu unaona kabisa ni ya kupiga shuti kubwa lakini wao wamekomaa kwenye vyenga