Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa Canada wanacheza utumbo sometimes aanatumia nguvu kubwa kufika karibu na goli, wakifika wanaanza kujikanyaga kanyaga

Wanataka kuvuka ukuta wote wa mabeki ndio wafunge? Kuna sehemu unaona kabisa ni ya kupiga shuti kubwa lakini wao wamekomaa kwenye vyenga
[emoji1]Unachozungumza ni sahihi kabisa
 
Batshuayi naye amewakosesha wenzake magoli mengi
Yupo kama rasta boo wa Msimbazi
 
Hawa Canada wana timu nzuri mno. Wana nguvu, wana pumzi, passing accuracy nzuri, wanakaba kwa pamoja, ila macho yao tu yana makengeza.
Davies kawapoteza wenzake wangeweza pata hata point au kushinda kbs.
 
Back
Top Bottom