Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji1]Unachozungumza ni sahihi kabisa
 
Batshuayi naye amewakosesha wenzake magoli mengi
Yupo kama rasta boo wa Msimbazi
 
Hawa Canada wana timu nzuri mno. Wana nguvu, wana pumzi, passing accuracy nzuri, wanakaba kwa pamoja, ila macho yao tu yana makengeza.
Davies kawapoteza wenzake wangeweza pata hata point au kushinda kbs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…