Mkuu mm sijakataa kata kata kua Cameroon hawez shinda lkn nasema kwa macho ya kawaida ni ngum kuona wanashinda hii game Pa1 lolote kwny mpr ni possible.Mpira unadunda. Kama Saudi Arabia alimkalisha Argentina, Japan akamnyoa Germany na jana chupuchupu Belgium afe kwa Canada, inashindikana vipi kwa Cameroon na Ghana kushinda mechi zao leo?
Hao Switzerland na Portugal hawana lolote la kutisha. Shaqiri amezeeka sawa sawa na Ronaldo.
Elfu 10 mali kauli mzee nipate ya pombeKama una laki, iweke pembeni. Tukutane baadaye.
Umetulia zako paleeNiite mbwa
Mkuu mbona kama umegeuza matokeo?Timu za Africa zinazocheza leo, Ghana dhidi ya Portugal na Cameroon dhidi ya Switzerland zitashinda kwa magoli mawili na zaidi.
Portugal vs Ghana = 1 - 2
Switzerland vs Cameroon = 1 - 3
Labda ashinde njaa,Cameroon anashinda leo[emoji1434]
Yeye mwenyewe kashangaaEti KDB akawa MOTM hawa FIFA hawako serious kabisa Bora hata angepewa golikipa.
Mdau hapo juu anasema hawa Swiss wa kawaida wamezeeka.. Awaulize France Euro alivotolewa kama kasimama.Labda ashinde njaa,
Hawa Swiss hua wanamkalisha mpaka Spain.
😀 😀
Mbele naona anaanza Choupo-MotingKameruni na uswiz GG3+ Visent Abubakary anaachaje kufunga
Asee dahMbele naona anaanza Choupo-Moting
Yuko kwenye form sanaAsee dah
Ya saa ngap na ngap?TBC leo wanaonyesha game mbili[emoji16]
Na mimi naona hivoMkuu mbona kama umegeuza matokeo?