Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Screenshot_20221124-120705_Twitter.jpg
 
Mpira unadunda. Kama Saudi Arabia alimkalisha Argentina, Japan akamnyoa Germany na jana chupuchupu Belgium afe kwa Canada, inashindikana vipi kwa Cameroon na Ghana kushinda mechi zao leo?

Hao Switzerland na Portugal hawana lolote la kutisha. Shaqiri amezeeka sawa sawa na Ronaldo.
Mkuu mm sijakataa kata kata kua Cameroon hawez shinda lkn nasema kwa macho ya kawaida ni ngum kuona wanashinda hii game Pa1 lolote kwny mpr ni possible.

Nikizngatia walivofuzu kwa figisu ntk kuwaona leo watajustify vipi qualification yao.
 
1.SwitzerlandvsCameroon-Cameroo Over 0.5 Full time
2.Uruguay vs South Korea-FT under 2.5
3.Portugal vs Ghana-Portugal under 1.5
4.BrazilvsSerbia-over 3.5
 
Back
Top Bottom