Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Iran niwazuri sana japo awana wachezaji wa league kubwa kubwa lakni wajituma niliona game yao na ureno jamaa niwazuri. na USA atoboi alfu Iran yupo kw warabu wenzake lazma kiwake
Kwnz sifa kubwa ya Iran wako very compact defensively na wanacheza very tactical Yan hata England game ya kwnz wajiangalie sana.
 
Timu yangu Iran naona amuizungumzi kabsa siku tukianza kukiwasha ndio mtajua Amjui .

Ureno wanatujua vizuri alfu tupo Group moja na maharamia USA na England apo lazma kiwake
Ahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…