Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joka la Kibisa hao.Hivi mbona hakuna mtu anaipa nafasi Brazil kuchukua ubingwa na Ina kikosi cha kutikisa Dunia
wazalendo wamevaa mabatiki hawa ndo watoto wa Magu pure.
AiseeWenye kombe letu tunawangalia tu [emoji57][emoji57]View attachment 2420834
Sio kwa mwaka huu. Brazil ipo vizuri sana na wana uwezo wa kufika mbali na hata fainaliJoka la Kibisa hao.
Kama una matumaini Brazil itachukua ubingwa nakuomba uchukue tahadhari mkuuSio kwa mwaka huu. Brazil ipo vizuri sana na wana uwezo wa kufika mbali na hata fainali
Inaweza. Na hata isipochukua inaweza kufika fainali...timu nyingine ni Argentina na France.Kama una matumaini Brazil itachukua ubingwa nakuomba uchukue tahadhari mkuu
Argentina nakubali na uenda akacheza fainali na NetherlandInaweza. Na hata isipochukua unaweza kufika fainali...timu nyingine ni Argentina na France.
Kwnz sifa kubwa ya Iran wako very compact defensively na wanacheza very tactical Yan hata England game ya kwnz wajiangalie sana.Iran niwazuri sana japo awana wachezaji wa league kubwa kubwa lakni wajituma niliona game yao na ureno jamaa niwazuri. na USA atoboi alfu Iran yupo kw warabu wenzake lazma kiwake
Netherlands hii yasasa sidhani aiseeArgentina nakubali na uenda akacheza fainali na Netherland
HaswaaaWahenga walisema siku hazigandi.
Naaam ni November 20 sasa, siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia mwaka 2022.
Ni muda wa kupata burudani tuliyoingojea kwa muda mrefu sana!
Brazil hamna kitu mule,wataishia kuuza sura tu.Sio kwa mwaka huu. Brazil ipo vizuri sana na wana uwezo wa kufika mbali na hata fainali
AhahahaTimu yangu Iran naona amuizungumzi kabsa siku tukianza kukiwasha ndio mtajua Amjui .
Ureno wanatujua vizuri alfu tupo Group moja na maharamia USA na England apo lazma kiwake
Ghetto kidsKikundi hiki cha utumbuizaji cha watoto kutoka Uganda kimealikwa katika sherehe za ufunguzi hiyo keshoView attachment 2421200
Ghetto kidsMasaka kids?