Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mubasharaaa World Cup

2010 [emoji736] nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲

2014 sikuwa mubasharaaa

2018 nilikuwa mubashara chuo

2022 niko mubasharaa ghetoo [emoji1732]
Naomba kuja kuangalia na wewe
 
Si wamesema masaa yanaendana? Pale juu nimeona mechi ya ufunguzi saa 7 au ?
Yaani iko hivi kwa Greenwhich meridian Time (GMT) ni saa 8 mchana huu, Indian standard Time (IST) ndio saa 7:30PM inamaana kwetu EAT ni saa 11:00 jioni

b'se tumeizidi GMT masaa 3 na IST wametuzidi Masaa mawili na nusu

Labda kama kuna changes
 
Wazee mimi niko Spain
IMG_20221119_205606.jpg
 
Back
Top Bottom