Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #541
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni 😂😂Tanseco washafanya yao😞
Ujerumani ata surprise watu subirini tuKuna timu zimebaki majina sio za kuzitegemea.
Timu kama Ubelgiji, Ujerumani kwa namna fulani hivi zimepungua ule ubora wake.
Hata huku kwetu TA washafanaya yaoTanseco washafanya yao[emoji20]
Afu hawa si ndo wanasifika kwa uchawiNdugu zetu Nigeria wanatia Huruma Sana yaani hawana tofauti Na Taifa stars,wanacheza Na Ureno mechi YA kirafiki wanakimbia kimbia tu uwanjani
Tutaanzia hapo kwenye sherehe huku tukisubiri mechiSherehe ni saa 11 jioni wakati mechi ni saa moja kamili usiku
Brazil nayo nitaipigia kampeni, ila wakikutana na waafrika tu na switch upande nakuwa mzalendo
Basi hii kitu ndio itafanya watu tushindwe kuangalia hii michuano kwa utulivuTanseco washafanya yao😞
Wao wanasemaga wao ni waarabu sio waafricaBrazil nayo nitaipigia kampeni, ila wakikutana na waafrika tu na switch upande nakuwa mzalendo
Katika wa Africa ambao nisingeweza kuwashangilia walikuwa ni Egypt, kwanza wao wenyewe wanasema sio wa Africa
NdioWao wanasemaga wao ni waarabu sio waafrica
German bado wapo moto kama unafuatilia mpiraKuna timu zimebaki majina sio za kuzitegemea.
Timu kama Ubelgiji, Ujerumani kwa namna fulani hivi zimepungua ule ubora wake.
Kama ni mechi itakuwa saa moja usiku sawa na 16.00 GMTYaani iko hivi kwa Greenwhich meridian Time (GMT) ni saa 8 mchana huu, Indian standard Time (IST) ndio saa 7:30PM inamaana kwetu EAT ni saa 11:00 jioni
b'se tumeizidi GMT masaa 3 na IST wametuzidi Masaa mawili na nusu
Labda kama kuna changes