Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

37912DAF-4F97-4F7C-B6B0-6D5C560BD0A0.jpeg
 
Ndugu zetu Nigeria wanatia Huruma Sana yaani hawana tofauti Na Taifa stars,wanacheza Na Ureno mechi YA kirafiki wanakimbia kimbia tu uwanjani
Afu hawa si ndo wanasifika kwa uchawi

Na miaka yote wamekuwa washiriki tu kwenye hii michuano, lakini hata kufika robo sidhani kama walishawahi
 
Germany vs Brazil H2H from 1963 to 2018
 

Attachments

  • Germany vs. Brazil H2H .jpg
    Germany vs. Brazil H2H .jpg
    184.8 KB · Views: 9
  • Thanks
Reactions: Lee
Mungu wasaidie Argentina wabebe kombe tusijekosa ushahidi wa kukieleza kizazi kijacho kuwa Lionel Messi ndio mchezaji bora kuwai kutokea katika hii sayari ilihali Hana hata kombe moja la Dunia.

Japo kwa wakati huu tu simama na Argentina simama na Messi tunafahamu Wana uwezo wa kuchukua kombe kutokana na ubora wa kikosi Chao, shida mpira una tuvitu vitu Sana ndio Maana tunakuomba usimame nao
 
Yaani iko hivi kwa Greenwhich meridian Time (GMT) ni saa 8 mchana huu, Indian standard Time (IST) ndio saa 7:30PM inamaana kwetu EAT ni saa 11:00 jioni

b'se tumeizidi GMT masaa 3 na IST wametuzidi Masaa mawili na nusu

Labda kama kuna changes
Kama ni mechi itakuwa saa moja usiku sawa na 16.00 GMT

Doha na Dar wanatumia time zone moja, hivyo haya mashindani yatarushwa kwenye the same time na huku kwetu
 
Back
Top Bottom