Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Fufu 😁😁😁Hawa Cameron wamekula fufu maana wazito sana
Ni bora timu zote zirudi tu. Tunamaliza round ya kwanza hakuna timu ya Africa iliyofunga goli. Sijui kama hao Ghana watafungaKinachoshangaza zaidi mchezaji huyu huyu wa Afrika akiwa ulaya ni tishio
Akirudi africa anakuwa kama michel saporng yule aliyekuwa yanga
Ila kuna kama roho inaniambia ghana leo anapasua mtu sjui kwa nini[emoji1][emoji23]Ni bora timu zote zirudi tu. Tunamaliza round ya kwanza hakuna timu ya Africa iliyofunga goli. Sijui kama hao Ghana watafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuwahama [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umewahama Iran[emoji1787]
Hatare sana!Ni bora timu zote zirudi tu. Tunamaliza round ya kwanza hakuna timu ya Africa iliyofunga goli. Sijui kama hao Ghana watafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah tuna safari ndefu sana. Ghana huwa anajitutumua pengine anaweza kutufuta machoziTeam za Africa kufunga sijui imekuaje Yan ni changamoto ya team zote kufunga.
Ngj niwaone Ghana kuna saut inaniambia lbd wanaweza kua ndo watu wa muhm kwa matumaini ya team za Africa lkn kuna saut nyngne inaniambia usiziamin team za Africa hazielewek. Mda utaongea sa1 sio mbl sana.
Najitumaje wakati nchi yangu ye yewe hanithamini mzeya....wee umeona kiwanja alichopewa samatta baada ya kushinda mchezaji bora kwa wachezaji wa ndani? Yaani kweli tulishindwa kumpa mwamba kiwanja masajki na kumjengea jumba la kama millin 500 kwa kututoa kimaso masoWanajituma?
Subiri kichapo kama cha Costa Rica na hiyo Ghana yako.Team ghana all the way. Am an african hao portugal watajua wenyewe.
Hapana hatuwapi treatment wanayostahilinkwa levels zaoHow ? Kwani wanajigaramia wenyewe
Ndo lbd tuwasbr The Black stars, wana watu sio kinyonge sana na niliona game yao ya friendly juzi Pa1 ilikua friendly lkn walicheza vzr ngj leo wajipime na Ureno hii yeny majina makubwa lkn muanganyiko sio mzr.Daah tuna safari ndefu sana. Ghana huwa anajitutumua pengine anaweza kutufuta machozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nilishasema hamna ata timu moja inafika robo. Hiyo knock out stage tuu hamna daliliNi bora timu zote zirudi tu. Tunamaliza round ya kwanza hakuna timu ya Africa iliyofunga goli. Sijui kama hao Ghana watafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu Senegal wametutenda Sina hamu tena na waafricabara la africa arooo....