Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kinachoshangaza zaidi mchezaji huyu huyu wa Afrika akiwa ulaya ni tishio

Akirudi africa anakuwa kama michel saporng yule aliyekuwa yanga
Ni bora timu zote zirudi tu. Tunamaliza round ya kwanza hakuna timu ya Africa iliyofunga goli. Sijui kama hao Ghana watafunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team za Africa kufunga sijui imekuaje Yan ni changamoto ya team zote kufunga.

Ngj niwaone Ghana kuna saut inaniambia lbd wanaweza kua ndo watu wa muhm kwa matumaini ya team za Africa lkn kuna saut nyngne inaniambia usiziamin team za Africa hazielewek. Mda utaongea sa1 sio mbl sana.
Daah tuna safari ndefu sana. Ghana huwa anajitutumua pengine anaweza kutufuta machozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajituma?
Najitumaje wakati nchi yangu ye yewe hanithamini mzeya....wee umeona kiwanja alichopewa samatta baada ya kushinda mchezaji bora kwa wachezaji wa ndani? Yaani kweli tulishindwa kumpa mwamba kiwanja masajki na kumjengea jumba la kama millin 500 kwa kututoa kimaso maso
 
Daah tuna safari ndefu sana. Ghana huwa anajitutumua pengine anaweza kutufuta machozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo lbd tuwasbr The Black stars, wana watu sio kinyonge sana na niliona game yao ya friendly juzi Pa1 ilikua friendly lkn walicheza vzr ngj leo wajipime na Ureno hii yeny majina makubwa lkn muanganyiko sio mzr.
 
Back
Top Bottom