Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sema senegal walitisha [emoji1787] uwanjani paligeuka kama kwa kalumanzila
Sasa wanaenda kwa waarabu wanavaa kama wanaenda sumbawanga, si wangevaa hata kanzu na barakashia kuonesha kuwa wapo uarabuni na wanafuata culture ya Arabs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…