Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Na kuvaa kama waganga wa kienyeji jukwani[emoji23]Africa tunachojua ni kuimba nyimbo za Taifa kwa hisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuvaa kama waganga wa kienyeji jukwani[emoji23]Africa tunachojua ni kuimba nyimbo za Taifa kwa hisia
Tunawatisha wazungu[emoji16]Na kuvaa kama waganga wa kienyeji jukwani[emoji23]
Nitakuita baadaeSubiri kichapo kama cha Costa Rica na hiyo Ghana yako.
Sema senegal walitisha 🤣 uwanjani paligeuka kama kwa kalumanzilaNa kuvaa kama waganga wa kienyeji jukwani[emoji23]
Yupo kule nyuma analiaYule muhuni aliyetaka kuiwekea Laki 1 Cameron yupo wapi?
Sasa wanaenda kwa waarabu wanavaa kama wanaenda sumbawanga, si wangevaa hata kanzu na barakashia kuonesha kuwa wapo uarabuni na wanafuata culture ya Arabs?Sema senegal walitisha [emoji1787] uwanjani paligeuka kama kwa kalumanzila
Eeeh so bolo katupiga bolo kweli 🤣🤣🤣🤣🤣Jina lake ni Embolo
Hatuna mpira sie ni siasa tuu na kufungianabara la africa arooo....
Waganga wote tunaoendaga nao hawafangi kazi yao vizuri. Ni wakati sasa wakitafuta waganga wapya🤣🤣🤣🤣Team za Africa tunatia aibu Qatar
Mbona kim wengi?
Commentators kazi wanayoMbona kim wengi?
🤗Nunez 🤪