Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nachozipendea hizi team za Asia uwa zina discpline sana cha mchezo Yan wakiwa hawana mpr hawatak kupress unnecessary wanarud kwny shape yao defensively wanasbr moments muhm wakiukamata utakimbizwa kama hawana akil nzr.
 
Mimi mwenyewe niliteseka sana sipati picha kwa Gyan
 
Yn lile tukio litamtesa sn, pia hta kwetu sie wapenzi wa soka tuliumia sn. Hlf wapo group moja, inabid Ghana walipize kisasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…