Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata Interview zake nyingi huwa anasema....
Kukosa ile penalty bado kunamuumiza sana..

Yule Mpuuzi mmoja Luis Suarez alivyofurahi....Binafsi sijawahi kusahau usiku wa ile siku.
Mpaka baada ya lile tukio kuna sheria zilibadilishwa. Ukizua mpira kwa kuudaka au kuupangua kama vile makusidi mpira uliokuwa uingie golini. unaliwa red na linahesabika ni goal sio penalty.
 
Kbs kwa sbb alisema kuliko huyu mpuuz afunge goal la wazi ivi bora nishike ipigwe tuta akijua tuta kuna proba ya 50/50 anaweza pata au kukosa.. Bas bet yake ikatiki akakosa.
Yaani probabilities zilivyoshuka hadi raha:
Penalty mzeya sio 50/50. Penalty ni 75/100

Ngoma ilivyoenda matuta na uruguay kwin toss kiwa wataanza kupiga chances za ghana zikashuka mpaka 40% chance.

Hesabu kali sana alipiga suarez...he is a genius
 
Hakika alifikiria sana na ikaturn out vzr upande wao.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom