Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Yes nickname yake ni El Matador..Cavan in....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes nickname yake ni El Matador..Cavan in....
Akuombe msamaha wa nini bwana ile ndio game. Akili kubwa sana ileHalafu hajawahi hata kutuomba msamaha yule umbwa😂😂😂
Yes sorry nilikuwa sijasoma chini mkuuYes nickname yake ni El Matador..
Kwa kitendo kile kule kwao alikuwa shujaa....wakati Africa tulimuona Kama shetaniYaani probabilities zilivyoshuka hadi raha:
Penalty mzeya sio 50/50. Penalty ni 75/100
Ngoma ilivyoenda matuta na uruguay kwin toss kiwa wataanza kupiga chances za ghana zikashuka mpaka 40% chance.
Hesabu kali sana alipiga suarez...he is a genius
Kha yaani mnalia ghana kifungwa hamlii taifa stars ikifingwa jamani uzalendo upo wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado unanimani na timu za Kiswahili!!??Tuwaombee ghana, wafike mbali na wapate ushindi
Afadhali..Mpaka baada ya lile tukio kuna sheria zilibadilishwa. Ukizua mpira kwa kuudaka au kuupangua kama vile makusidi mpira uliokuwa uingie golini. unaliwa red na linahesabika ni goal sio penalty.
PoapoaSa1.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shikamoo
Saa mojaGame saa ngapi
🤣🤣🤣🤣 South sudan watenda world cup kabla ya tanzania nakwambia🤣🤣🤣🤣Nao wakifika WC tutalia panapostahili kulia [emoji2]
Aunt mnonko nimekutana nae humu kachange id[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shikamoo pia Shem Darling...
Mkuu pengine round ya pili wataanza kutushangazaMie nilishasema hamna ata timu moja inafika robo. Hiyo knock out stage tuu hamna dalili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aunt mnonko nimekutana nae humu kachange id
Wadau humu ukiwaambia khs team za Africa hawatak na wala hawana imani kbs na hata m1 wao.
Hii inaanza na D[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeee!! Tena?
Si ile ile inaanza na C?
Tena Africa nzima italia kwa ajili yao..Nao wakifika WC tutalia panapostahili kulia [emoji2]