Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Hata Interview zake nyingi huwa anasema....Yn lile tukio litamtesa sn, pia hta kwetu sie wapenzi wa soka tuliumia sn. Hlf wapo group moja, inabid Ghana walipize kisasi
Kukosa ile penalty bado kunamuumiza sana..
Yule Mpuuzi mmoja Luis Suarez alivyofurahi....Binafsi sijawahi kusahau usiku wa ile siku.