Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli lipoGoalless draw inanukia hapa.
HahahahahahaWaarabu kwa starehe tu mbn ndo wenyw na wasivopenda kufny kaz bas kuanzia leo na kesho ni kuparty tu.
Hii ni ndoto, wakijitahidi sana watafungwa kamoja.BLACK STARS AT LEAST INA WACHEZAJ WAJANJA
KUDUS, PARTEY,INACK WILLIAM
HOPEFULLY WATAMFUNGA UYO URENO
Hakuna kitu MkuuGoli lipo
Sana kakosea kweliKipa wa Uruguay angejutia sana iyo clearance yako mbov
Umeziona kosa kosaHakuna kitu Mkuu
Bila Suarez Kujifanya Kipa aka-Punch ule Mpira Ghana ingekuwa inaingia Hatua Nyingine sababu alikuwa last man na ule mpira ungeingia nyavuni ilishakuwa extra Time; Kwahio kwa wa-Africa alikuwa ni Traitor (wa the Beautiful game) ingawa Uruguayans (La Celeste (The Sky Blue)) watasema otherwise.... (alikubali kupewa Red Card ili kuipa Timu yake Chance ya kuendelea..., Binafsi mimi naona Big Cheat alikuwa Gary Lineker aliye-dive kwenye Mechi na Cameroon hence kuwapatia England Penalty...Hivi penaty ile ilipatikana vipi mbona naona suarez analaumiwaga sana??
Hizo kosa kosa hazizai bao.Umeziona kosa kosa
Shida yetu weusi kila mmoja anataka ushujaa, wanatengeza moves nzuri ila wakifika golini kila mmoja anataka afunge.Timu za Africa zimejaa ufala tu yani zinashindwa kufunga hata goli moja kweli.
Tulia sasa uoneHizo kosa kosa hazizai bao.
Ghana wameondoshwa afcon round ya kwanza hkn kitu walichofanya saasa hapa world cup unadhani atafanya nn ,waarabu Wenda wakafika mbali ila siyo hao kina ghanaNamuona kabisa ghana anamfunga portugal naandika tena
Leo mtashangaa