Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kombe la dunia la mwaka huu Tanesco wameliharibu,yaani hakuna mzuka! Muda ambazo unasema ngoja niangalie mpira washafanya yao!
 
Hivi penaty ile ilipatikana vipi mbona naona suarez analaumiwaga sana??
Bila Suarez Kujifanya Kipa aka-Punch ule Mpira Ghana ingekuwa inaingia Hatua Nyingine sababu alikuwa last man na ule mpira ungeingia nyavuni ilishakuwa extra Time; Kwahio kwa wa-Africa alikuwa ni Traitor (wa the Beautiful game) ingawa Uruguayans (La Celeste (The Sky Blue)) watasema otherwise.... (alikubali kupewa Red Card ili kuipa Timu yake Chance ya kuendelea..., Binafsi mimi naona Big Cheat alikuwa Gary Lineker aliye-dive kwenye Mechi na Cameroon hence kuwapatia England Penalty...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…