Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

90% ya wachezaji wa Portugal ni kubwa
Hilo ni jambo zuri lakini kucheza formation itakayofanya muendane ni jambo lingine tofauti

Ghana ni underdog
Naona nguvu ya Ghana ipo kwa partey
Partey akiwa vizuri leo, hii game inaweza kuwa upande wao

Portugal wapo 10 uwanjani, mmoja ni mtumishi hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…