Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama kunguniHuku wametuachia
Samia nasikia yuko
Wanakung'ata usiku mzima ila kukikaribia na kukucha wanakuachia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kunguniHuku wametuachia
Samia nasikia yuko
Tuko pamoja, team ghana. Afungwe ashinde mm ni team ghana.Team Ghana 🇬🇭
Black Stars...
The land of Gold...
Gold is the New Black...
André Ayew ❤
Nimecheka hapa nikajisemea mpira ni ukichaaSasa hao waliosogezewa camera kwanini wanatuzomea 🤣
Kwani Kuna mtu anategemea Ghana itashinda?[emoji23]Dadangu hizi points tunaziachia tu zote si uongo.
Mimi pia....sichekagi na mzunguTuko pamoja, team ghana. Afungwe ashinde mm ni team ghana.
Ipo wazi, na tayari watu wameandaa meme zao kuhusu Ronaldo[emoji1].Mimi sio mtabiri ila najua leo Messi ana support Ghana.
🤣🤣🤣Kuna makosa ya kiafrika yanafanyika hapa
Kuna hirizi zinapumua hukoTunajipaka chokaa usoni namna hi afu wachezaji wetu wanatuangusha viwanjani
Hii sijapenda sijui kwa nini kajiweka katika hiyo position, haijakaa vizuri. Bora angekataa kuchezahao ndio waafrika walivyo, tunaongoza kwa kujikataa lakini tunalalamikia wengine wanapotukataa.