Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwa team km ureno yenye talent black star amecheza vizuri
Watalii wote kutoka Afrika wasipoangalia holiday zao zitakwisha punde, warudi makwao...

Hivi hawa Ghana wanajua kwamba mpira ni kukipiga hicho kidubwasha cha mviringo kwenye hizo nyavu za mpinzani ?; Au wanadhani kuzuia pia kuna Points ?
 
Naomba niwe mgeni wako,Mimi niliuza tv baada ya Argentina kufungwa.
Na nilivowaona waona wale mexico asee sijui kuhusu Argentina, wale mexico wana vijana wadogo wanapiga kazi kweli, kama Argentina ataanza na over 34 wanne first eleven asee kufuzu kwake hakupo tena
 
SPAIN will Win this WORLD CUP 2022
 
Walisema hichi ni nn asee ilikua na vibe sio la kawaida.. Me kwng ile ilikua WC bora kbs on and off the pitch ilikua bora sana kiukwl.
Walihisi wapo kuzimu aiseeh ni "Vuuuuuuuh Vuuuuuh Vuuuuuh" dk zote 90[emoji1].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…