yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Una yako wwNakosa tu muda wa kubadili [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una yako wwNakosa tu muda wa kubadili [emoji23]
Muda umemuacha kiasi cha kukosa team kama ulivyodai?Mimi ni mwanamichezo sijawahi kumuombea ashindwe ila muda umemuacha
Ghana ya muntari, essien, appiah,gyan,kwado,silva,boateng ilikua htr sn.Ingekuwa Ronaldo na his Shooting Boots, au enzi za Kina Figo au Ronaldo wa Yesteryear sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine; au Ghana ya kina Muntari na Essien wangeweza kwenda Toe to Toe na hawa jamaa hakuna cha kutisha hapa....
Tukubali tu mwaka huu Afrika ni kutegemea tu lady luck, ile uwezekano mkubwa ni wasindikizaji, sisemi kwamba tushinde hapana (at least try); give your all....
Pole Sana! Unakosa BurudaniHapahapa mjini
Naangalia tbc kwny king'amuz cha azam. Yn ni hd na inaonyesha vzr sn .Tbc quality mbovu,