Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Washenzi sana.Nimecheka kama mazuri pole mama..!
Natumia hii App .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washenzi sana.Nimecheka kama mazuri pole mama..!
Ghana mpaka sasa wamecheza vizuri. Hii game ni 50/50. Tukubaliane tu Ronaldo muda wake umefika mwisho. Afanye maamuzi tu apumzike.
Unasemaje 50/50 wakati uwanja umeinama mkuu?Ghana mpaka sasa wamecheza vizuri. Hii game ni 50/50. Tukubaliane tu Ronaldo muda wake umefika mwisho. Afanye maamuzi tu apumzike.
Kwemye swala la kuruka hapo Ronaldo ni mtu mwingine, ni kama ana busta miguuniSasa hapo kwenye kikosi cha ghana, ni nani anaeweza kwenda sawa na CR7 kwenye swala la kuruka?
Blatter alimuambiaga anajua kioo tu [emoji1]
Ni morinho.Blatter alimuambiaga anajua kioo tu [emoji1]
Hapahapa mjiniWapi Huko Kusiko na Umeme
Mdogo wake nashangaa amekaa bench
Nakosa tu muda wa kubadili [emoji23]Hio avatar haikubariki.
Tukapike wengine. Ni mwendo wa vimchicha vya fasta tu
Blatter alisema ballon dor sio kwa huyo anaejua kujirembaremba tu 😆 ndio kipindi hicho nadhan messi alichukuaga 3 mfululizoNi morinho.
Hahahhaha Numbisa[emoji1].Namshukuru Mama katukatishia vya dezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]awamu hii tumepatikana
Hii App inaonyesha picha Clear sana.Carleen sitaki nye nye nyeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm nipo ghana kizalendo tu lakini roho ipo na cr7Mkuu hao ghana hawana uhandsome kama G.O.A.T CR7
Apumzike kwakuwa wewe umesema?Ghana mpaka sasa wamecheza vizuri. Hii game ni 50/50. Tukubaliane tu Ronaldo muda wake umefika mwisho. Afanye maamuzi tu apumzike.
Hata me nimeshangaaUnasemaje 50/50 wakati uwanja umeinama mkuu?
Ingekuwa Ronaldo na his Shooting Boots, au enzi za Kina Figo au Ronaldo wa Yesteryear sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine; au Ghana ya kina Muntari na Essien wangeweza kwenda Toe to Toe na hawa jamaa hakuna cha kutisha hapa....Kwa team km ureno yenye talent black star amecheza vizuri