The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hata izi dkk wakicheza kwa akil wanaweza pata goal.Ghana wakijiamini na kuupiga mwingi kama hivi watatoboa.
Tumpatie dyadyaaaKuna mbwa humu ameshiba au tumpe mifupa?
Sanaaa!Refa amezingua aisee
Kama offside waaangalie mtu anazidi mkono ndio nini sasa bora iwe mwili mzimaShida ni Sheria za Fifa zinamlinda sana Striker siku hizi; Mpira umekuwa kama golf..., ingerudi enzi zile kiatu cha kawaida refa anapeta; ofside zote ondoa..., yaani undava undava..., Mpira gani mtu anamaliza dakika tisini hana hata doa kwenye uzi wake....
Ghana wakirudisha goli niiteni mbwa nimekaa siti ya nyuma
Ngoja niyaleteTumpatie dyadyaaa
Joao Felix jamani 😥😥Kocha anazingua anamtoaje kudus mpambanaji