Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Shida ni Sheria za Fifa zinamlinda sana Striker siku hizi; Mpira umekuwa kama golf..., ingerudi enzi zile kiatu cha kawaida refa anapeta; ofside zote ondoa..., yaani undava undava..., Mpira gani mtu anamaliza dakika tisini hana hata doa kwenye uzi wake....
Kama offside waaangalie mtu anazidi mkono ndio nini sasa bora iwe mwili mzima
 
Back
Top Bottom